Muungano Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete(kulia) akifuatana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli kabla ya kuingia katika ukumbi kikao cha siku moja cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM kilichofanyika leo Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma