DEMOCRACY

Mgombea urais wa upinzani nchini Jamhuri ya Demokrasi ya Congo Moise Katumbi, amehukumiwa kifungo cha miaka 3 jela kwa kununua nyumba kinyume cha sheria kwenye mji ulio mashariki mwa nchi wa Lubumbashi.
Pia alipigwa faini ya dola milioni 6. Katumbi hakuwa mahakamani wakati wa kutolewa kwa hukumu hiyo, baada ya kusafiri kwenda afrika kusini kupata matibabu siku moja baada ya serikali kutangaza waranti wa kukamatwa kwake kwa mashtaka tofauti


Viongozi CCM watiwa mbaroni tuhuma ya kuuza viwanja

KAIMU Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa, Elisha Mwampashi ambaye pia ni Katibu wa CCM Manispaa ya Iringa na aliyekuwa Katibu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Iringa, Alli Nyawenga wametiwa mbaroni wakituhumiwa kuuza baadhi ya viwanja, mali ya UVCCM mkoa wa Iringa.
Akizungumza na wanahabari jana, Kaimu Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Iringa, John Kauga alisema watuhumiwa hao wameshitakiwa na Tume ya Uchunguzi ya Baraza la Wadhamini la UVCCM Taifa.
Wakati Nyawenga alikamatwa mwishoni mwa wiki iliyopita mkoani Morogoro na kuletwa mjini hapa Jumapili, Mwampashi alikamatwa Jumatatu na wote wawili wakafikishwa mahakamani juzi Jumanne na kutolewa gerezani jana baada ya kukamilisha taratibu za dhamana.
Alisema taarifa za awali za Polisi zinaonesha watuhumiwa hao walihusika na uuzaji wa viwanja hivyo vilivyopo katika eneo la Igumbiro, mjini Iringa. “Mchakato wa biashara ya viwanja hivyo ambavyo hata hivyo idadi yake haijawekwa wazi, ulifanyika kati ya Machi na Desemba, mwaka jana,” alisema.
Kauga alisema baada ya kupokea taarifa hiyo na kuwashikilia watuhumiwa hao hao wawili, Jeshi la Polisi kwa maelezo linayoendelea kuyapata kutoka katika baraza hilo la wadhamini, unaendelea na uchunguzi wa tukio hilo.
Taarifa kutoka ndani ya chama hicho na zilizothibitishwa na mmoja wa viongozi wa chama hicho (hakutaka kutaja jina gazetini) zinasema UVCCM Mkoa wa Iringa walikuwa wakilimiliki shamba lenye ukubwa wa heka 210 katika eneo hilo.
“Kwa kuwa sheria za miji haziruhusu kuwa na shamba la ukubwa huo mjini, UVCCM walifanya mchakato wa kubadilisha matumizi, kutoka kwenya shamba ili pawe na viwanja kwa matumizi mbalimbali,” alisema.
Ili wafanikishe azma hiyo, alisema UVCCM waliamua kuuza sehemu ya shamba hilo ili fedha zitakazopatikana zisaidie kuharakisha mchakato wa upimaji wa viwanja katika shamba hilo.
“Kwa hiyo tunasikia zikauzwa heka 30 kwa mfanyabiashara mmoja wa kiasia wa mjini hapa kwa kiasi kinachokadiriwa kufika Sh milioni 90,” alisema. Alisema sehemu ya fedha hizo zilitumika kufanikisha shughuli ya upimaji wa viwanja hivyo kwa kushirikiana na idara ya ardhi ya halmashauri ya manispaa ya Iringa.
“Katika eka 180 zilizobaki, vilipatikana viwanja 185 baada ya upimaji wa viwanja hivyo kukamilika, viwanja ambavyo baadhi yake vinadaiwa kuuzwa kuitata,” alisema mtoa taraifa huyo.

 








German Chancellor Angela Merkel, right, greets U.S. President Barack Obama at the stately Schloss Herrenhausen, once the summer residence of the Royal House of Hannover, April 24, 2016German Chancellor Angela Merkel, right, greets U.S. President Barack Obama at the stately Schloss Herrenhausen, once the summer residence of the Royal House of Hannover, April 24, 2016.

US presidential elections 2016: State by state results tracker Which states has Donald Trump won so far? Where is Hillary Clinton winning? Check our elections tracker to find out the latest results for America's 2016 presidential elections

Donald Trump and Hillary Clinton are the current frontrunners in the race





A man known as Faycal C, the only person arrested and charged with involvement in the Brussels attacks, has been released for lack of evidence.
Belgian media gave his name as Faycal Cheffou and said he was suspected of being the mystery third man seen in CCTV footage of the bombers.
Tuesday's attacks on the airport and the city's metro system killed 35 people and injured more than 300.
The attacks were claimed by the Islamic State (IS) militant group.
Police have blocked off a Brussels square, Place de la Bourse, which saw clashes between police and nationalist protesters on Sunday. Officers told the BBC there was a "security issue".
ZANZIBAR ELECTION

HATIMAE uchaguzi wa Visiwa vya Zanzibar ulifanyika kwa amani, hii ni baada ya kufutwa uchanguzi mkuu uliofanyika mnamo tarehe 25/10/2015.

Image result for dr david shein aapishwa
Baada ya kufanyika kwa marudio mnamo tarehe 20/03/2016, na ndugu, Dr. M. Shein kuchaguliwa kuwa raisi wa awamu ya saba katika visiwa hivi ameapishwa rasmi kushika hatamu