Saturday, May 21, 2016

Magufuli has sacked the minister for being drunk

Grind is reported to be the master went to parliament to answer the question of MP drunk.

Minister of the interior in Tanzania Charles Grind has sacked due to being drunk on duty.

In a statement, President John Magufuli said master Grind went to parliament to answer the question of MP drunk.

However Grind master has not said anything.
President John Magufuli

Dr. Magufuli president who came to office last year promised to fight corruption and work on dismiss several officials with regard to corruption.

But the press say that the cancellation of the master Grind is surprising because he has been a friend of the president for a long time.

G-7: Consumers' Reluctance to Spend Causing Economic Dilemma

U.S. Treasury Secretary Jacob Lew talks to reporters during a press briefing in Sendai, Japan, May 20, 2016. Top finance officials of the Group of Seven industrialized economies kicked off their two-day meeting over discussions on revitalizing the global  
U.S. Treasury Secretary Jacob Lew talks to reporters during a press briefing in Sendai, Japan, May 20, 2016. Top finance officials of the Group of Seven industrialized economies kicked off their two-day meeting over discussions on revitalizing the global 


Consumers around the world are holding onto their money, say the finance leaders of the Group of 7 meeting in Japan.
There are a number of reasons for consumer apprehension about spending their hard-earned money.
Some have limited purchasing power because their budgets are tightly stretched. Others may have little savings or are opting to save rather than spend.
Their reluctant spending habits are having a ripple effect around the world.
The G-7 finance leaders say consumers' fiscally conservative ways have led to a worldwide economic dilemma. Companies and factories are churning out consumer goods, but consumers are not buying.
"There is no demand and that is one of the biggest problems around the world," Japanese Finance Minister Taro Aso said.
Spur growth
U.S. Treasury Secretary Jack Lew has urged governments and businesses to use whatever "policy levers" are available to them to spur growth.
Most of the governments of the G-7 favor more pro-active government spending to help support flagging growth.
Economic powerhouse Germany, however, has maintained a more conservative stance on any financial reforms.
The officials have also warned against the dire consequences of "Brexit:" Britain leaving the European Union.
"Everyone here at the G-7 is clear ... it would be bad for the British economy if we left the European Union," Britain Finance Minister George Osborne said.
The finance leaders are meeting ahead of a summit to be held May 26-27 in Ise-Shima, central Japan.


500,000 Flee Bangladesh Cyclone, at Least 20 Killed

 
Bangladeshi people walk through a waterlogged street after heavy rainfall in Dhaka, Bangladesh, Saturday, May 21, 2016.


Cyclone Roanu swept across the southeastern coast of Bangladesh Saturday, forcing an estimated 500,000 people out of their homes. Tidal surges of up to two meters and floods killed at least 20 people.
The cyclone weakened after making landfall, but authorities in Bangladesh said scores of villages already were submerged by floodwaters.
Many of the victims were rice farmers overwhelmed by the storm as they worked in their paddies, accounts from the region said. Deadly landslides in parts of Chittagong District crushed villagers' mud-and-tin shacks, and the casualty toll was expected to rise.
VOA reporters in the area saw hundreds of homes destroyed or heavily damaged, and thousands of trees uprooted by high winds and water. Electricity service was disrupted over a wide area.
Authorities said 500,000 residents of low-lying areas in the south and southeast were relocated to thousands of shelters. Some began trying to return to their homes later Saturday after the cyclone's winds lessened in intensity.
Mohammed Ali Hossain, a government official in Dhaka, said 100,000 people were forced to leave their homes on Moheshkhali island, near the tourist site Cox's Bazaar in extreme southeastern Bangladesh, close to the border with Myanmar.
News reports quoted a local council chief on Moheshkhali island as saying residents had been warned a cyclone was imminent, but the storm arrived earlier than expected, forcing many people to flee before they could reach secure cyclone shelters.
Airlines canceled all flights to and from Chittagong, a city of over 2.5 million people in the southeast, and authorities shut down sea and river ports Saturday, halting the ferries that millions of people in southern Bangladesh rely on for basic transportation.

Thursday, May 19, 2016

DRC Seeks Arrest of Presidential Challenger

Democratic Republic of Congo's opposition presidential candidate Moise Katumbi (C) waves to his supporters as he walks to the prosecutor's office over government allegations he hired mercenaries in a plot against the state, in Lubumbashi, the capital of Katanga province of the Democratic Republic of Congo, May 9, 2016.
Democratic Republic of Congo's opposition presidential candidate Moise 
Katumbi (C) waves to his supporters as he walks to the prosecutor's office 
over government allegations he hired mercenaries in a plot against the state, 
in Lubumbashi, the capital of Katanga province of the Democratic Republic 
of Congo, May 9, 2016.
The Democratic Republic of Congo's government has issued an arrest warrant
for Moise Katumbi, an opposition leader planning a possible election challenge
to President Joseph Kabila.
Government spokesman Lambert Mende told VOA French to Africa on Thursday
 that the arrest warrant was issued after Katumbi was indicted on a charge of hiring
mercenaries.
Katumbi's lawyer, Jean-Joseph Mukendi Wa Mulumba, said Thursday that he cannot
respond to the indictment until he is formally notified.

UN peacekeepers from stand guard

FILE - UN peacekeepers from stand guard during a patrol through a neighborhood on the outskirts of Timbuktu, Mali, March 31, 2014.
UN peacekeepers from stand guard during a patrol through a neighborhood on the outskirts of Timbuktu, Mali, March 31, 2014
The U.N. says five Chadian peacekeepers have been killed and three wounded after being attacked in northern Mali.

A statement from the U.N. secretary-general's spokesman says the peacekeepers' convoy hit a roadside bomb and then came under fire from gunmen.

The attack took place Wednesday about 9 miles (15 kilometers) north of Aguelhok in the northern Kidal region. Seven other peacekeepers have been killed there so far this year.

U.N. Secretary-General Ban Ki-moon called it a "heinous attack'' and noted it would be considered a war crime under international law.

Islamic extremists have been attacking international peacekeepers and Malian soldiers working to stabilize the north three years after a French-led military campaign ousted jihadis from power.

Hollande: Flight to Egypt crashed


French President Francois Hollande said the information obtained so far indicate the plane of the airline of EgyptAir bombers that went missing on a flight from Paris to Cairo crashed.However he said it is still premature to say very clearly what kiliisibu trip flight number MS804, and that there is still a possibility that disappeared due to other reasons."The information we have gathered so far, ministers, government officials and, of course, officials of Egypt, affirms, with sadness, that the plane crashed. Ilitokomea."

    
Flight to Egypt stop appearing rebounds Paris
    
Direct: Flight to Egypt stop appearingMr Hollande has promised that his government would provide the necessary assistance to officials of Greece and Egypt that continued efforts to track down the plane.


The office of the prosecutor of Paris said it has initiated an investigation concerning the disappearance was imepaa flights from the airport of Charles de Gaulle, Paris with 15 French nationals.

The plane also had 30 Egyptian citizen, a citizen of Iraq and 2 individual citizens from Britain, Canada, Belgium, Kuwait, Saudi Arabia, Algeria, Sudan, Chad and Portugal. Egyptian Prime Minister Sherif Ismail has told reporters that efforts to search for the aircraft continues. Egypt and Greece officials are using aircraft and ships search for the plane in the Mediterranean sea. The plane had 66 people ilipotoweka imewabeba 16 kilometers into the sky of Egypt.

Tuesday, May 17, 2016

Kenya: Mashirika yashutumu ‘ukatili’ wa polisi

Mashirika ya kutetea haki za kibinadamu nchini Kenya yameshutumu maafisa wa polisi wakisema walitumia nguvu kupita kiasi kukabili waandamanaji jijini Nairobi Jumatatu.
Tume ya Taifa ya Haki za Kibinadamu (KNHRC) imesema imeshangaza sana na video na picha ambazo zinaenea kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari kuhusu yaliyojiri wakati wa maandamano hayo.
Picha hizo zinawaonesha polisi wakiwakabili waandamanaji kwa marungu.
Baadhi ya wakenya mtandaoni pia wamekuwa wakiwashutumu maafisa wa polisi na kitambulisha mada #StopPoliceBrutality (Komesha Ukatili wa Polisi) kinavuma Kenya.
Kwa mujibu wa kituo cha redio cha Capital FM jijini Nairobi, mmoja wa waliokabiliwa na polisi alifariki baadaye akipokea matibabu.
"Kikosi cha Polisi ni kikosi cha nidhamu na si kikosi cha kutumia nguvu. Kanuni ziko wazi kuhusu jinsi ya kuwashughulikia raia wakati wa maandamanaji,” tume hiyo imesema kupitia Twitter.
Mamlaka huru ya kiraia inayofuatilia shughuli za polisi (IPOA) pia imeshutumu vitendo vya maafisa wa polisi na kusema walivuka mipaka.
Mwenyekiti wa mamlaka hiyo Bw Macharia Njeru amewaambia wanahabari kwamba polisi walitumia nguvu kupita kiasi.
Amesema maafisa wa mamlaka hiyo wanakamilisha uchunguzi na watawasilisha ripoti kwa Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP) ili hatua zichukuliwe dhidi ya maafisa husika.

Muungano wa upinzani CORD umekuwa ukifanya maandamano Jumatatu kila wiki kuwashinikiza maafisa wakuu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (IEBC) wajiuzulu.
Viongozi wa CORD wamesema maafisa hao hawawezi kusimamia uchaguzi huru na wa haki wakati wa uchaguzi mkuu ujao 2017.
Wameahidi kuendelea na maandamano hayo hadi maafisa hao watakapong’atuka.


Samia atema cheche kuhusu mifugo ya nje, wavamia hifadhi

MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan ameagiza wakuu wa mikoa ya Geita, Arusha na Kagera kuhakikisha wanaondoa mifugo itokayo nje ya nchi pamoja na kuwaondoa wanachi waliovamia maeneo ya hifadhi za taifa (Tanapa) ifikapo Juni 30 mwaka huu.
Aidha ameagiza wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya kuhakikisha wanatenga maeneo maalumu kwa ajili ya mifugo inayotolewa ndani ya hifadhi na kupunguza mgogoro kwa wananchi wengine.
Samia alitoa maagizo hayo jana jijini hapa, wakati alipokuwa akikabidhi hundi ya thamani ya Sh bilioni moja kwa wakuu wa mikoa 19 inayozunguka hifadhi za taifa (Tanapa) kwa ajili ya kununua madawati. Alisema, wakuu wa mikoa wakizembea kutekeleza uondoaji mifugo ndani ya hifadhi za taifa serikali itawawajibisha.
Alisema waliohifadhi mifugo ndani ya hifadhi hiyo waondoke na mifugo yao hadi Juni 30 mwaka huu kwani mkoa wa Kagera una ng’ombe milioni mbili wanaotoka nje ya nchi, na mikoa ya Arusha na Geita ina ng’ombe milioni tatu kutoka nje ya nchi.
Akizungumzia kuhusu kukabidhi madawati 16,500 katika wilaya zote 55 zilizopo kwenye mikoa 19 nchini, Samia aliipongeza Tanapa kwa kusaidia elimu nchini kwani baada ya serikali ilipotangaza kuwa elimu bure wanafunzi wengi wamejitokeza huku kukiwa na changamoto ya madawati Samia alisema, kutokana na msaada huo wanafunzi wataondokana na adha ya kukaa chini na kuumia migongo kwani kila wilaya itapata madawati 300 huku wanafunzi 49,500 wakiwa wanakaa kwenye madawati na kuongeza usikivu zaidi.
Naye Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe alisema Tanapa wanatambua mchango wa elimu ndio maana wametoa msaada huo kwa mikoa 19 inayopakana na hifadhi za taifa.
Mkurugenzi wa Tanapa, Allan Kijazi alisema Tanapa itaendelea kushirikiana na serikali katika sekta ya elimu kwa lengo la kuhakikisha wanafunzi wanasoma kwa bidii pamoja na kujua jinsi ya kuhifadhi maliasili za Taifa.
Akitoa salamu za shukrani kwa Makamu wa Rais, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Said Meck Sadiki aliishukuru Tanapa kwa kutoa madawati kwa wakuu wa mikoa na kusema kuwa, mkoa wa Kilimanjaro umepiga marufuku usafirishaji wanyama pori kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kuanzia jana.

DR. MENGI ANATOA DARASA KWA WASHIRIKI WA CHUO CHA ULINZI CHA TAIFA

DR. R.Mengi (Mwenyekiti mtendaji wa IPP ltd) kulia akisalimiana na Mkuu wa Chuo cha ulizi cha Taifa Meja Jenerali Yacoub Mohamed (16 May 2015) jijini Dar es Salaam

 DR. R.Mengi (Mwenyekiti mtendaji wa IPP ltd) akitoa hotuba kuhusu nafasi ya vyombo vya habari katika kuhakikisha usalama wa taifa kwa washiriki wakozi wa mbinu za kiusalama


Serikali yamwaga ajira nchini

Naibu waziri wa Tawala za mikoa na serikali za mitaa (TAMISEMI) S. JAFFO

SERIKALI inatarajia kumwaga ajira kwa askari na walimu katika mwaka ujao wa fedha huku ikisisitiza walimu kwamba watakaokaidi kwenda kuripoti kwenye mikoa ya pembezoni na baadaye kuamua kuomba tena, hawatapewa nafasi kama ambavyo imekuwa ikifanya.
Taarifa juu ya ajira hizo, zilitolewa jana bungeni kwa nyakati tofauti na mawaziri tofauti wenye dhamana na taaluma husika.
Akiwasilisha Makadirio ya Mapato ya Matumizi ya Wizara yake kwa mwaka 2016/17 kuhusu ajira za askari, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga alisema wataajiriwa askari wapya 3,700 katika mwaka wa fedha 2016/17.
Kwa upande wa ajira kwa walimu 35,411 wa shule za msingi na sekondari, Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi), Selemani Jaffo alitoa taarifa hiyo kwenye kipindi cha maswali na majibu.
Ajira polisi Waziri Kitwanga alisema mbali ya kuajiri askari hao, pia watawapandisha vyeo askari 7,140, wakaguzi 1,325 na maofisa 991.
Alisema katika mwaka 2015/16, jumla ya askari polisi wapya 3,882 waliajiriwa, na askari wakaguzi na maofisa 4,065 wa vyeo mbalimbali walipandishwa vyeo kwa kufuata utaratibu wa ajira.
“Aidha, serikali imeendelea kuhuisha viwango vya mishahara na posho mbalimbali, ikiwemo posho ya chakula ambayo iliongezwa kutoka Sh 180,000 hadi kufikia Sh 300,000 kwa mwezi,” alieleza Waziri Kitwanga.
Alisema katika mwaka ujao wa fedha, Jeshi la Polisi litaongeza umakini katika kusimamia nidhamu kwa askari wake kwa kufanya uchambuzi wa kina (vetting) kwa kuchukua vijana waliomaliza mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), wanaoomba kujiunga na Jeshi la Polisi ili kuwa na askari wenye nidhamu na moyo wa dhati wa kulitumikia Taifa kwa ujumla.
Kwa upande wa Jeshi la Magereza, alisema linatarajia kutoa mafunzo kwa maofisa na askari 4,975 katika ngazi mbalimbali, ikiwa ni pamoja na yale ya Taaluma ya Urekebishaji.
Alisema ili kukabiliana na changamoto ya uchache wa miundombinu ya makazi kwa askari Polisi, serikali kupitia mkopo kutoka Serikali ya China inakusudia kujenga nyumba 4,136 chini ya usimamizi wa Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Polisi.
Akizungumzia Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, alisema jeshi hilo linahitaji vituo 152 Tanzania Bara, lakini kwa sasa lina vituo 57 na kati ya hivyo, 38 vipo katika miji na 19 katika viwanja vya ndege. Alisema huo ni upungufu wa vituo 95 hali inayosababisha maeneo mengi kukosa huduma za zimamoto na uokoaji.
Inategemea kujenga kituo kimoja cha zimamoto na uokoaji katika eneo la Kigamboni katika Jiji la Dar es Salaam na kuendelea na ujenzi wa Jengo la Makao Makuu Tazara - Mchicha, Dar es Salaam.
Aidha, alisema Jeshi la Polisi litaendelea kupambana na makosa yanayovuka mipaka hususani ugaidi, uharamia, biashara ya dawa za kulevya, biashara haramu ya kusafirisha binadamu, wizi wa vyombo vya moto hususani magari, wizi wa kutumia mitandao ya Tehama, bidhaa bandia, na biashara haramu ya silaha na uchafuzi wa mazingira.
Walimu kuajiriwa Kuhusu walimu 35,411 watakaoajiriwa, Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tamisemi, Selemani Jaffo alisema uamuzi wa kuwaajiri umetokana na serikali kupokea maombi mengi ya kazi kwa walimu ambao mwaka jana hawakuripoti katika vituo walivyopangiwa pembezoni mwa mji kwa kutegemea kuajiriwa na shule binafsi, lakini hawakufanikiwa.
Jaffo alikuwa akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Mchinga, Hamidu Bobali (CUF) aliyetaka kufahamu serikali inafanya nini kwa walimu waliopangiwa kwenda mikoa ya pembezoni na Lindi na kwingineko, lakini wakakataa kuripoti.
Alikiri kuwa walimu wengi hawakuripoti katika mikoa ya pembezoni na si Lindi pekee, bali mingine ikiwemo Katavi, Kigoma. Hata hivyo alisema, pamoja na kwamba mwaka huu wanaajiri walimu 35,411 , ambaye hataripoti katika mikoa hiyo na kuishia mijini pekee, hawataajiriwa tena serikalini kama ambavyo wamekuwa wakifanya kwa kuomba tena baada ya kukosa katika shule binafsi.
Awali, Katika swali ya msingi, Mbunge wa Viti Maalumu, LucyMlowe (Chadema) alitaka kufahamu mpango wa serikali uliopo wa kukabiliana na changamoto za uchache wa walimu kwenye shule za msingi na sekondari.
Naibu waziri alisema, ili kuboresha elimu nchini kwa kupunguza msongamano wa wanafunzi madarasani serikali imeendelea kutenga bajeti kila mwaka kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa katika shule za msingi na sekondari.

Monday, May 16, 2016

Trump asema hataelewana na Cameron



Mgombea anaewania urais nchini Marekani Donald Trump ameonya kuwa henda asiwe na uhusiano mzuri sana na waziri mkuu wa Uingereza, David Cameron -- Ikiwa atakuwa rais wa Marekani. Mwezi Disemmba, Bwana Cameron alimtaja Trump kama mtu mwenye "ubaguzi, mjinga, na mwenye makosa" kufuatia kauli yake kwamba ataweka marufuku ya muda ya kuingia Marekani dhidi ya waislam. Bwana Cameron amekataa kufuta kauli zake dhidi ya Bilionea Trump , ambae anatarajiwa kuwa mgombea wa urais wa Marekani kupitia chama cha Republican katika uchaguzi wa mwezi Novemba. Akizungumza katika kituo cha televisheni cha Uingereza ITV kwa mara ya kwanza mbele ya umma tangu akosolewe Bwana Trump, alisema yeye si mjinga ama mbaguzi stupid bali ni''muunganishi". Kuhusu kauli za Bwana Cameron, Bwana Trump alisema : "yaelekea hatutakuwa na uhusiano mzuri sana, nani anajua. "natumai kuwa na uhusiano mwema na yeye, lakini inaonekana ni kama hataki kutatua tatizo."

Rwanda yawatimua raia wa Burundi




Maafisa nchini Burundi wanasema kwamba Rwanda imewafukuza zaidi ya raia elfu moja mia tatu wa Burundi kutoka nchini humo katika kipindi cha wiki moja iliyopita, baada ya wao kukataa kuhamishiwa hadi katika kambi ya wakimbizi. Afisa mmoja amesema kuwa wale ambao walikataa kwenda katika kambi ya wakimbizi, walinyanganywa mali yao na kisha wakafukuzwa. Makumi kwa maelfu ya Warundi walikimbilia Rwanda tangu ghasia zilipoanza nchini mwao mwaka mmoja uliopita, kufuatia uamuzi wa Rais Pierre Nkurunziza wa kuwania Urais kwa muhula wa tatu kinyume na katiba. Rwanda pia imewatimua Warundi ambao wameishi na kufanya kazi nchini humo kwa miaka mingi.