Mmiliki wa mgahawa huo ameahidi kubadilisha jina la mghahawa wake na kuupatia jina la Dk Magufuli Cafe. Picha/Ikulu, Tanzania bbcswahili.com


Dr. Magufuli (Tanzania president), alionekana akipata chakula cha mchana jana tarehe (29/3/2016), alikuwa katika safari ya kuelea nyumbani kwa wilayani Chato kwa ajili ya mapumziko.